Sunday, March 25, 2012

uswazi

hi friend,
Juzi kati mida ya saa nne napita pande za kitaa mara gafla naona watu wanashushiana matuzi kama vile mvua za masika bila kujali watoto wadogo waliokuwa wanawashangaa.

Basi kam communicator nikajisogeza karibu kusikilizia tatizo nini mbona hivi mara gafla naona mtu na kaka yake wanaanza kupigana huku washkaji na majirani wasijue la kifanya kusikiliza kwa undani naasikia kaka mtu anamchukua mke wa mdogo wake.

Jamani hivi kuoa ni karaha au raha maana naona tamaa zinatawala sana kwenye ndoa za watu mpaka mke wa ndugu yako!