hi friend,
Juzi kati mida ya saa nne napita pande za kitaa mara gafla naona watu wanashushiana matuzi kama vile mvua za masika bila kujali watoto wadogo waliokuwa wanawashangaa.
Basi kam communicator nikajisogeza karibu kusikilizia tatizo nini mbona hivi mara gafla naona mtu na kaka yake wanaanza kupigana huku washkaji na majirani wasijue la kifanya kusikiliza kwa undani naasikia kaka mtu anamchukua mke wa mdogo wake.
Jamani hivi kuoa ni karaha au raha maana naona tamaa zinatawala sana kwenye ndoa za watu mpaka mke wa ndugu yako!
Sunday, March 25, 2012
Saturday, February 4, 2012
openess and truth
It very painfully to hate someone who does not even know,If u decide to stay quiet it will kill u so friends dont live with the devil find the place to heal!
Thursday, January 5, 2012
politics
Hi friends,
Huu utaratibuika wa vyama kuwafukuza wabunge walio chaguliwa na wanainchi, hivi kwa sisi raia wakawaida ambao tunategemea wabunge wapeleke vilio vyetu serikalini, tukimbilie wapi, na sisi mchango wetu katika kuwafikisha viongozi hao katika madaraka waliyo nayo hauna maana kama nguvu ya wanainchi haionekanai.

Subscribe to:
Posts (Atom)